Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Ndugu Khamis Katimba kwa niaba ya Watumishi wote wa Halmashauri, tunatoa pongezi kwa Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunawatakia heri, afya na ufanisi katika kuliongoza Taifa letu.
"KAZI NA UTU Tunasonga mbele"
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.