• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

WATUMISHI SPORTS CLUB YAKABIDHI KOMBE KWA MKURUGENZI KATIMBA

Posted on: September 10th, 2024

Timu ya watumishi Sports Club imekabidhi kombe la ushindi katika mchezo wa darts na mchezo wa bao pamoja na cheti cha ushiriki katika mashindano ya michezo ya Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa 2024.


Akizungumza mara baada ya kupokea tuzo hizo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi ndugu Jaaphary Katimba ameipongeza timu hiyo kwa kufanya vizuri katika mashindano hayo na kuwataka wasibweteke na ushindi huo bali waendelee kujipanga vizuri ili wafanye vizuri zaidi katika michezo mingine mwakani.


Katika mashindano hayo ya SHIMISEMITA 2024 Timu ya Watumishi Sports Club imeshiriki katika michezo ya ndani ikiwa ni pamoja na mchezo wa bao, mchezo wa kurusha vishale (darts), mchezo wa draft na karata 


Katika mchezo wa darts kwa upande wa wanawake Timu ya Watumishi Sports Club imeshika nafasi ya kwanza, mchezo wa bao kwa wanaume imeshika nafasi ya tatu, mchezo wa draft kwa wanaume imeshika nafasi ya kumi na sita, mchezo wa karata kwa wanaume imeshika nafasi ya kumi na sita, na mchezo wa karata kwa wanawake imeingia katika hatua ya makundi


Kufuatia hali hiyo timu ya watumishi Sports Club imepata zawadi ya kombe la mshindi wa kwanza kwa mchezo wa darts na kombe la mshindi wa tatu kwa mchezo wa bao pamoja na cheti cha ushiriki.


Mashindano hayo ya michezo ya watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa Tanzania ( SHIMISEMITA) yalianza Agosti 25, 2024 na kumalizika septemba 6, 2924 Jijini Mwanza.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • SERIKALI YATENGA SH. BILIONI 18 KWAAJILI YA UJENZI WA MADARAJA MAWILI WILAYANI MALINYI

    April 24, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 24, 2025
  • KESI ZOTE ZA MIGOGORO YA ARDHI SASA KUSAJILIWA NA KUSIKILIZWA MALINYI

    March 24, 2025
  • "ITISHENI MIKUTANO YA VIJIJI"

    March 20, 2025
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.